- Muombaji lazima awe raia wa Tanzania mwenye umri wa miaka 18 au zaidi
- Muombaji lazima awe na akili timamu
- Muombaji lazima awe na namba/kitambulisho cha taifa
- Muombaji anatakiwa kurejesha marejesho ndani ya muda uliopangwa
- Muombaji anatakiwa kuwa na uwezo wa kusoma na kuandika lugha ya Kiswahili
- Riba ya mkopo ni 15%
- Kushindwa kurejesha marejesho kwa wakati kutapalekea mkopaji kuchukuliwa hatua kali za kisheria
- Fanikisha Loans inayo haki ya kukubali au kukataa ombi la mkopo endapo itabaini itirafu/udaganyifu katika taarifa za mkopaji